Watu wanaoishi kwenye mji mdogo uitwao Saarland nchini Ujerumani wamepata cha kujivunia baada ya kupata emoj mpya ambazo zinapatikana kwenye jamii hiyo tu tofauti na zilivyo emoji nyingine.
Emoji hizo ambazo ni takribani 400 zimetengenezwa ndani ya mji huo ambazo zinafanana na hali halisi ya maisha ya wakazi wa eneo hilo ikiwa ni pamoja na emoji zinazofanana na vyakula vyao, vinywaji na vinginevyo.
“Tunapata magonjwa ya ajabu, saivi mpaka tutumie dawa za vijana”