By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Millard AyoMillard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Biden ahakikisha watu wake kuwa ‘yuko sawa’ baada ya kupatikana na UVIKO-19
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Millard AyoMillard Ayo
Font ResizerAa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Biden ahakikisha watu wake kuwa ‘yuko sawa’ baada ya kupatikana na UVIKO-19
Top Stories

Biden ahakikisha watu wake kuwa ‘yuko sawa’ baada ya kupatikana na UVIKO-19

Published July 18, 2024
Share
1 Min Read
SHARE

Rais wa Marekani Joe Biden amesema anajisikia vizuri baada ya kupimwa na kupatikana na maabukizo ya viruso vya  Corona wakati wa safari ya kampeni yake huko Nevada siku ya Jumatano.

“Ninajisikia vizuri,” amesema mgombea huyo urais wa chama cha Democrat mwenye umri wa miaka 81 alipokuwa akipanda ndege ya rais “Air Force One.”

Tangu mdahalo wake dhidi ya Donald Trump mwishoni mwa mezi Juni, shaka kuhusu afya ya rais huyo wa Marekani, mwenye umri wa miaka 81, kumesukuma karibu wanachama zaidi ya ishirini wa chama cha Democrat kumtaka ajiondoe kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika mwezi Novemba.

Share This Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Morocco yawafunga jela saba kwa unyanyasaji na biashara ya binadamu
Next Article J.D. Vance ndiye mgombea mwenza wa Trump
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 29, 2024
Mhe. Albert chalamila kuongoza mkutano mkuu wa Tano wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na wakadiriaji ujenzi.
Asilimia 60 ya wagonjwa wana shinikizo la Damu, kambi ya matibabu yazinduliwa Mwanza
Waziri Chana aelekeza askari uhifadhi kuweka kambi Ikungi kukabiliana na tembo.
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved. Designed by Ayo.

Lost your password?