Mbunge wa Jimbo la Ulanga na mfanyabiashara ya madini Mhe Salim Alaudin Hasham ameanza mkakati wa kutanua eneo lake la machimbo lililopo mahenge ili kuongeza uzalishaji na kutoa ajira kwa wingi kwa vijana.
Almas amesema lengo lake ni kuongeza uzalishaji wa madini tofauti na awali na anategemea baada ya upanuzi huo kukamilika basi atakuwa na uwezo wa kupata madini kwa kila mwezi jambo litakaloongeza mzunguko wa biashara.