Janeth Maro mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania kupitia Shirika lake wameweza kuwekeza zaidi ya Billion 4 kwenye shamba la viazi lililopo Morogoro kwa lengo la kupunguza migogoro ya Wakulima na Wafugaji ambao wamekuwa wakiuana kwa muda mrefu.
Janeth anasema eneo hilo lililo na Ekari 600 ndio ambalo limemaliza migogoro iliyokuwa Morogoro baada ya kuwashirikisha wote kwa pamoja kupitia kwa kilimo hai.
MAAJABU HAYA NG’OMBE AZALIWA AKIWA NA MIDOMO MITATU NA MACHO MATATU