Mtoto mwenye umri wa miaka 11 aliyefahamika kwa majina ya Revina Leo Mwanafunzi wa darasa la nne shule ya Msingi Bwakila Chini Wilaya ya Morogoro amefariki dunia baada ya kubakwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro Fortunatus Musilimu amethibitisha kutokea kwa tukio na kwamba siku ya tukio mtuhumiwa alimbeba mtoto huyo kisha kumpeleka shambani kwake na kumbaka huku akimtishia kumuua endapo atapiga kelele.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.