December 3 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Simon Msuva winga mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na Dumy Utamu mkali wa kudance kutoka familia ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz, wote hawa wanakumbuka siku yao ya kuzaliwa kwa pamoja, kwa kuwa ni marafiki basi wakaamua usiku wa December 3 kufanya Birthday Party yao kwa pamoja na kualika watu kadhaa.
Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 25 kutoka katika Birthday Party ya Simon Msuva na Dumy Utamu ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz. Video ya Birthday Party soon nakusogezea katika Ayo Tv.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.