Mikono Speakers Inawaletea Mkutano Mkubwa wa mauzo Duniani World Sales Conference kwa mara ya Tatu Tanzania na Victor Antonio ambaye ni Sales Trainer Nambari moja Duniani kwa sasa Anakuja Tanzania ,Daresalaam Mwezi April 27th-28th .
Mkutano utafanyika ukumbi wa Julius Nyerere International Conventional center Posta, Kuanzia saa Mbili asubuhi mpaka saa kumi na Moja Jioni kwa siku mbili mfufulizo,Mubashara na Victor Antonio na Wengine Jukwaa moja.
• Je Una malengo ya Kuongeza mauzo ya Kampuni yako kutoka 20% mpaka 35% kipindi cha miezi sita Ijayo?
• Je Ungependa kujua namna Gani ya Kuongeza Mauzo maradufu kipindi cha mgororo wa kiuchumi?
• Je Ungependa kujifunza Namna ya Kuwa Mbunifu na Kutumia Technologia kuongeza mauzo?
• Je kampuni yako Ina sales culture? au Ungependa kupata mbinu na zana za kutengeneza au Boresha sales culture kwa kampuni yako?
Haya yote na Mengine Mengi yatatolewa na Mtaalamu wa Mauzo duniani Mr Victor Antonio.
Wahi sasa kabla ushindani hajakutoa nje ya soko, ticket zimebaki 122, wasiliana nasi kwa simu +255 717 109 362 au +255 682 897 280 au sales@excel.co.tz au tembelea tovuti yetu www.mikonospeakers.com
VIDEO: Kujua zaidi jinsi ya kuongeza mauzo kwenye biashara yako bonyeza play.