Mkuu wa Wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo ni miongoni mwa Viongozi waliofika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko ambapo ameeleza hali ilivyo kwa sasa hukua akiamuru Mtumishi wa Serikali kutolewa kwa nguvu katika nyumba yake.
“HALI NI MBAYA NI KINYAA WANAFUNZI WANAJISAIDIA NJE” MWALIMU AKIPOKEA MSAADA TOKA KWA NDELE MWASELELA