May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti wamegoma kuendelea kushiriki vikao vya Bunge baada ya kutaka hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) waliotakiwa kuondoka chuoni hapo ndani ya saa 24.
Naibu Spika Tulia Ackson aliliazimika kutoa amri ya kutolewa nje kwa Wabunge hao walioonekana kutokubaliana na kauli ya Bunge kuwa haitaweza kuruhusu mjadala huo ufanyike ndani ya Bunge.
Mbunge wa Bunda Ester Bulaya kayaongea haya nje ya bunge…
ULIIKOSA HII? MBUNGE BASHUNGWA ‘MUDA HAUKUTOSHA KUELEZEA KAULI YA WANAUME KUSHINDWA KUOA WANAWAKE WAZURI’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE