Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga leo asubuhi katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa alikaa kwenye kiti cha utangazaji kwa muda kwenye Power BreakFast ya Clouds FM na kupewa nafasi ya kusoma magazeti akisaidiana na Sam Sasali “Mimi pia ni Mwajiriwa naweza kupangiwa kazi yoyote” alisema Kusaga