Naibu Waziri wa Maji Juma Aweso akiwa jimboni kwake Pangani ameeleza kuwa Tanga ina vivutio vingi vya utalii ikiwa ni pamoja na Mto Pangani ambao unamwaga maji yake bahari ya Hindi pamoja na mbuga ya Sadani.
Tofauti na hivyo ameeleza kuwa Pangani ni maarufu kwa kilimo cha zao la popoo ambalo kwa barani Afrika, ndilo eneo pekee linalolima zao hilo.
Uwepo wa zao hili umevutia uwekezaji mjini Pangani ambapo mpaka sasa kiwanda cha uzalishaji na usafirishaji wa zao hilo kwenda nchini China pamoja na India.
PLAY hapa chini kutazama Aweso akizungumza
Steve Nyerere “Maisha yamekuwa Magumu lini kwako yamekuwa mepesi”