March 7, 2018 Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Kikosi cha Usalama Barabarani kimepiga marufuku vikundi vya mazoezi (Jogging) vinavyotumia barabara kubwa na kuathiri matumizi mengine ya barabara
AyoTV na millardayo.com imempata Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani katika mkoa wa Dar es salaam Marison Mwakyoma ambae ametoa ufafaanuzi kuhusu suala hilo.
Waajiri 6907 DSM kupelekwa Mahakamani
Shamba la Miti ya mbao lapandwa ya kivuli mradi wa TASAF (video)