Katika kuboresha utendaji kazi wa Serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassanc amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa , Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Mabasi yaendayo kwa haraka (UDART).
Sasa Miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.




