Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa COVID19 hapa nchini kilichotokea alfajiri Machi 31,2020 katika kituo cha matibabu ya ugonjwa huo cha Mloganzila.
Marehemu ni Mtanzania, mwanaume mwenye miaka 49 ambaye pia alikuwa akisumbuliwa na maradhi mengine.