Ni June 29, 2022 ambapo Rais Samia amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ( Chief of Defence Forces- CDF).
Kwa taarifa zaidi unaweza ukabonyeza play ufahamu
TAZAMA ALICHOWAHI KUFANYA MKUU MPYA MTEULE WA MAJESHI MKUNDA “MLINDENI RAIS NA KATIBA”