CHADEMA imejitoa kwenye Uchaguzi wa kata tano za Udiwani katika Wilaya ya Arumeru Arusha kwa madai ya kuwepo kwa fujo na baadhi ya Wagombea na Wananchi kupigwa ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa Demokrasia.
Mwenyekiti Freeman Mbowe ameagiza Viongozi wote wa CHADEMA kuondoka kwenye kata hizo tano, hii video hapa chini imenasa kila alichokisema
VIDEO: TAARIFA YA CHADEMA DAR ES SALAAM KUHUSU UCHAGUZI WA UDIWANI LEO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA