Hii ni ya Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe leo November 9, 2017 Bungeni Dodoma alipochangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo alihoji ni kwanini Serikali inaficha taarifa za kuporomoka kwa pato la taifa?
Hii video hapa chini ina kila alichokisema Bashe….
BUNGENI: Mbowe vs Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu shambulio la Tundu Lissu…