Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe wakati akichangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ameitaka Serikali kujitazama upya katika vigezo vya kujipima katika kuwasaidia wananchi wake ikiwemo katika sekta ya kilimo.
“Kama hatutoamua kama taifa ku-unlock mambo mawili ambayo Wabunge wamekuwa wakisema humu ndani hatuwezi kupiga hatua kama nchi, Taifa letu asilimia 60-70 ni wakulima. Hawa ndio drivers wa dream ya kuanzisha viwanda na kufanya kila kitu” –Hussein Bashe
Mtoto wa Mama Ntilie alieanza kwa kuuza Mihogo sasa anamiliki Shule inayoongoza TZ