Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amelitaka Shirika la Viwanda Vidogo SIDO kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa UNIDO kusaidia kuratibu wamiliki wa viwanda vidogo na Taasisi za Wahisani kuwasaidia mkakati wa wa ukusanyaji malighafi.
“Mambo mengine ni Wahisani mimi nimekuwa nikikaa nao wanakuwa wapo tayari kuisadia Serikali lakini hatuja-articulate nini hasa wasidie” Waziri Bashungwa