Wakati bunge likiwa limepitisha jumla ya shilingi trilion 29.5 kama bajeti kuu kwa mwaka wa fedha 2016/2017 huku ikitangaza baadhi ya vipaumbele vya kukusanya mapato. Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alisimama bungeni kupinga kitendo cha serikali kuwapandishia kodi bodaboda kutoka Elfu 45 mpaka 95 ikiwa ni kinyume na walichoahidiwa watanzania wakati wa uchaguzi.
Bashe amesema…>>>’Tunapitisha sheria ambazo zinakuwa na negative impact kwa investiment na leo tunataka kupitisha sheria ya kwenda kupambana na bodaboda, tuliwajengea matumaini na tukawaambia muda umefika wa wao kupunguziwa mizigo.‘ –Hussein Bashe
‘Lakini leo tunapitisha kuwaongezea kodi ya bodaboda kutoka elfu 45 mpaka elfu 95 hawa watu wa chini ‘ –Hussein Bashe
Unaweza kuendelea kumsikiliza Hussein Bashe kwenye hii video hapa chini….
ULIIKOSA HII YA HUSSEIN BASHE KUSEMA ‘NI HALALI WANANCHI KULIPA USHURU WAKATI HAWAPATI HUDUMA?’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE