September 16 2016 Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amehutubia katika kikao cha mwisho cha mkutano wa nne wa bunge la 11 Dodoma ambapo alitumia nafasi hiyo kuahirisha bunge hilo. Katiba hotuba yake Waziri mkuu amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo hali ya nchi kwa sasa.
Hizi ni kauli zake kuu kumi ambazo nilikuzogezea kupitia twitter wakati Waziri mkuu Majaliwa akihitimisha vikao hivyo vya bunge leo.
'Barabara zilizoathirika na tetemeko la ardhi mkoani Kagera zitarudishwa katika hali ya kawaida karibuni' #MAJALIWA pic.twitter.com/99WF6UkLI7
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Serikali yangu inawashukuru wote waliojitolea kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera' #MAJALIWA pic.twitter.com/ayj1bwcKYS
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Hali ya uchumi nchini ipo shwari inaendelea kuimarika na sio mbaya kama inavyodhaniwa na baadhi ya watu' #MAJALIWA' pic.twitter.com/SBVw2j1Bd8
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Hali ya miundombinu Dodoma kwa sasa inatosheleza mahitaji ya Serikali kuhamia, nawakaribisha wawekezaji' #MAJALIWA pic.twitter.com/UcevgqzRnw
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Kuhusu hali ya uzalishaji na upatikanaji wa mazao ya chakula kitaifa ni toshelevu kabisa' #MAJALIWA pic.twitter.com/ONc01BOfKd
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Nazitaka halmashauri zote zihakikishe mawakala wa pembejeo nchini wanauza mbolea kwa bei iliyopangwa' #MAJALIWA pic.twitter.com/F2tMrtdYbn
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Serikali yetu itaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wanaohujumu mali za ushirika nchini' #MAJALIWA pic.twitter.com/hmGSiilXQq
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Serikali imetenga bilioni 18.8 kujenga maabara za shule za sekondari katika Halmashauri zote nchini' #MAJALIWA pic.twitter.com/ptpmjxbZF3
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Serikali yetu imedhamiria kujenga walau kiwanja kimoja cha kisasa katika kila mkoa nchini' #MAJALIWA pic.twitter.com/TFSl9NHN8j
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Naliahirisha Bunge hili tukufu mpaka tarehe 1 November 2016' #Waziri_mkuu_Majaliwa pic.twitter.com/TA3avkzoa3
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
'Serikali imeamua walimu wapya watakaoajiriwa wapangwe moja kwa moja shuleni na maeneo yenye upungufu' #MAJALIWA pic.twitter.com/rY1ZWd7FGx
— millardayo (@millardayo) September 16, 2016
ULIMIS HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KUHUSU TETEMEKO LA BUKOBA