Bunge la katiba limeahirishwa mpaka August 2014 ili kupisha bunge la bajeti ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya ambae pia ni mjumbe, bunge hilo la katiba limetengewa na serikali shilingi Bilioni 29 ili kuwawezesha wajumbe wake zaidi ya 620 kuketi na kujadili sura 17 za rasimu ya katiba mpya itakayounda katiba mpya.
Pamoja na kwamba bunge la katiba limeahirishwa, dakika 3 hizi hapa chini ni sehemu tu ya ambavyo vilivyotokea kwenye bunge hilo kabla halijaahirishwa.
Bonyeza play kwenye rangi ya orange ili kusikiliza.
Unataka stori kama hizi zisikupite? jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo ili kila kinachonifikia niwe nakutumia iwe usiku au mchana.