Vikao vya bunge la 11 vimeendelea tena leo April 20 2016 ambapo shughuli ya uwasilishaji wa bajeti kwa baadhi ya wizara umefanyika ikiwemo Wizara ya Fedha na Mipango ambapo Waziri mwenye dhamana Philip Mpango aliwasilisha bajeti yake, nje ya Bunge alipata nafasi ya kuyazungumza haya…….
>>>’tutakusanya kodi, tutakusanya na mapato yasiyo ya kodi kwa nguvu zote, tumechelewa mno watanzania wenzangu kwa sababu hiyo lazima tufanye kila jitihada, kila mwananchi alipe kile kinachopaswa hili tukiweke kwenye maendeleo’:-Waziri Mpango
>>>’lazima tuvuje jasho watanzania hakuna namna nyingine ya kuendelea lakini pia tutakwenda kukopa lakini ni kwa tahadhari, tutaendelea kwenda kukopa kwa msisistizo kwamba mikopo hii ielekezwe kwenye miradi ya maendeleo’:-Waziri Mpango
NIMEKUWEKEA HAPA CHINI VIDEO YA ALICHOKIZUNGUMZA WAZIRI MPANGO UNAWEZA KUITAZAMA
ULIYAKOSA YALIJITOKEZA BUNGENI DODOMA APRIL 19 2016? ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE