Ugonjwa wa kansa ni moja ya magonjwa ambayo yanaongoza kwa kusababisha vifo nchi za Ulaya, kwa upande wa Tanzania imeonekana tatizo kuwa kubwa pia katika siku za hivi karibuni.
Moja ya vitu vinavopelekea ugonjwa huu kushindwa kutibika ni ishu ya wagonjwa wengi kufikishwa hospitali wakati ikiwa tayari kansa ikiwa imeathiri sehemu kubwa ya mwili.
Kipimo hicho cha ‘Breathlyser‘ kiko kwenye majaribio, kikithibika kugundua tatizo hilo kitarahisisha kuokoa maisha ya wagonjwa wa kansa ambayo iko katika hatua ya kwanza.
Kwa sasa kiko kwenye majaribio na huenda kikaanza kutumika muda wowote.
Kifaa hicho kimegundulika na engineer Billy Boyle ambaye mke wake alifariki kwa kansa ya utumbo mwaka 2012, anaamini ugunduzi wake huo ni msaada kwa watu wengi duniani.
https://www.youtube.com/watch?v=pf91fN3cvg8
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook