Nyota wa Arsenal Havertz anafunga ndoa ya kushangaza katika sherehe ya kifahari.
Kai havertz amefunga pingu za maisha na Wag Sophia Weber mrembo katika…
Van Dijk akila bata na LeBron, Dr Dre & Snoop Dogg.
Nahodha wa Liverpool Virgil van Dijk alishiriki shamrashamra na nguli wa NBA…
Rapa Kanye West atangaza rasmi kustaafu muziki
Moja ya taarifa iliyowapa butwaa mashabiki wa hip hop duniani hii ni…
Wakali hawa kuitikisa Dar usiku wa leo, sio mchezo kuzicheza Amapiano live Elements Masaki
NI Wakali kutokea Afrika Kusini Shakes & Les ambao Usiku wa leo…
Msanii Bene Pristine amewaletea EP mpya “FLOURISH”
Msanii BENE PRISTINE ameachia Brand New Vlassic EP “FLOURISH” yenye nyimbo tano,…
Ziara ya Taylor Swift Eras: Maonyesho ya mwisho ya Uingereza katika Uwanja wa Wembley wa London itakuza uchumi kwa euro milioni 300.
Kulingana na ripoti ya Ofisi ya Meya wa London, maonyesho ya mwisho…
Nyota wa Nigeria Adekunle Gold amekuwa akipambana kimya kimya na ugonjwa wa seli mundu
Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo Adekunle Gold alijipatia umaarufu wa kimataifa wakati…
Justin Timberlake aliachiliwa bila dhamana baada ya kukamatwa akiendesha akiwa amelewa
Justin Timberlake alikamatwa mapema Jumanne huko Hamptons na anatuhumiwa kuendesha gari akiwa…
Mkali wa Gospel Christina Shusho na titi Ranel wametuletea video mpya ‘Atatenda leo’
Ni mkali kutokea kwenye Gospel, Christina Shusho akishirikishwa na msanii Titi Ranel…
‘Nilitengeneza mamilioni bila kufanya lolote!’: Vanilla Ice alijenga himaya ya mali isiyohamishika na inaripotiwa kuwa na thamani ya $20M sasa.
Vanilla Ice, ambaye jina lake halisi ni Robert Van Winkle, alipata umaarufu…