Top Stories
-
UPDATES! Zitto katolewa Polisi, amepelekwa Ofisi za Bunge kuhojiwa
Baada ya taarifa za kukamatwa kwake jana akiwa Airport DSM kisha mapema leo...
-
Dr. Tulia: “Wanaosema haya maneno msiwasikilize”
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amefanya ziara mbalimbali mkoani Mbeya ambapo Jana September...
-
JAMAL MALINZI MAHAKAMANI! Kesi yake bado, yasogezwa mbele
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzanai ‘TFF’, Jamal Malinzi na wenzake...
-
UKALI: Mkuu wa Mkoa aagiza Dereva azunguke na Ambulance bila Mgonjwa
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella aliyefanya ziara katika Wilaya ya Ukerewe...
-
VIDEO: Jaji Mkuu kuhusu wanaotaka wapelelezi wa nje waletwe kuchunguza ishu ya Lissu
Leo September 21 2017 Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amekutana na...
-
IGP Sirro kawataka Wananchi wa Mererani kulinda miundombinu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi wa Mererani...
-
“RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA
Mbunge wa Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma...
-
BREAKING: Mipango ya kumpeleka Tundu Lissu Marekani yasimamishwa
Kulikua na mipango ya kumpeleka Marekani Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ambae...
-
Kitu Waziri Mpina kaagiza kwa wenye viwanda wilaya ya Kinondoni
Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Luhaga Mpina ameagiza wamiliki wote wa viwanda katika wilaya...
-
Walanguzi wa binadamu waliohukumiwa miaka mitano jela leo Dar es Salaam
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kifungo cha miaka 5 jela ama kulipa...
-
HEKAHEKA: Kamshika Komba, akafunikwa kwenye nyungu na Mganga
Kutokea Mwanza Geah Habib kainasa Hekaheka na kutusogezea kupitia Leo Tena ya Clouds...
-
Taarifa za wanaokejeli na kulishambulia Bunge, zimefika Ofisi ya Bunge
September 20, 2017 Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa siku za hivi...
-
Kama unatumia Ecobank isikupite taarifa hii
Katika kuendeleza dhamira yake kutoa huduma bora na kuwa suluhiso kwenye biashara katika...
-
Taarifa ya Mahakama Kuu kuhusu maombi ya dhamana ya Harbinder Sethi
Mfanyabiashara Harbinder Sigh Sethi leo September 20, 2017 amewasilisha maombi ya dhamana katika...
-
Polisi aliyefyatua risasi mbele ya Malima kadai mwenzie aliitwa Mwizi
Jumatano September 20, 2017 Ofisa wa Polisi wa Kituo cha Kati, H 7818...
-
Miezi 18 tangu kufikishwa Mahakamani, Upelelezi kesi ya Kitilya bado…
Leo September 20, 2017 Upande wa utetezi umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
-
Mambo 15 makubwa JPM kayazungumza kwenye ziara Simanjiro
Rais John Magufuli yupo kwenye ziara ya kikazi katika Mkoa wa Manyara ambapo...
-
Mstaafu JK kakanusha taarifa inayosambaa mitandaoni
Hivi karibuni kumekua na ujumbe umesambaa kwenye mitandao ya kijamii ambao umedaiwa kuhusishwa...
-
Ni kesi ya Mwanzilishi wa JAMII FORUM leo tena Mahakamani
Ushahidi wa kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya upelelezi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao...
-
Picha 11: Baadhi ya mitaa DSM baada ya mvua kunyesha Leo asubuhi
Leo September 20, 2017 maeneo mbalimbali Dar es Salaam yamepata mvua iliyonyesha kwa...
-
BREAKING: Mipango ya kumpeleka Tundu Lissu Marekani yasimamishwa
Siku 14 sasa zimepita tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu apigwe risasi...
-
INASIKITISHA: Wazazi wampiga, wanyonga na kuuchoma moto mwili wa binti yao…..kisa?
Mtoto wa miaka 13 ajulikanaye kwa jina la Radhika Narasimba ameuawa kikatili India...
-
Picha 5: Tetemeko jipya Mexico, Mamia wafariki
Watu zaidi ya 140 wameripotiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubwa...
-
Video iliyonasa Ndege iliyobeba miili ya Watanzania 13 ikiwasili
Miili ya Watu 13 wa familia moja waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea...
-
Naibu Waziri Mpina asimamia Viwanda viwili vikiandikiwa faini DSM
Naibu Waziri Mpina alifanya ziara ya kushtukiza katika eneo la viwanda Mikocheni Dar...