Latest Top Stories News
Lifahamu jengo refu zaidi lenye umbo la jogoo
Hoteli ya Campuestohan Highland Resort katika jimbo la Ufilipino la Negros Occidental…
Magazeti ya Ufaransa yadai kuchukukua hatua za kisheria dhidi ya X
Magazeti makuu ya Ufaransa, ikiwa ni pamoja na Le Monde, Le Figaro…
Israel yafungua kivuko cha misaada Gaza, kabla ya muda uliowekwa na Marekani
Jeshi la Israel lilitangaza kufungua siku ya Jumanne (Nov 12) kwa msaada…
Tanzania kuandaa mpango wa vituo vya Teknolojia ya nyuklia-Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema…
Baraza la madiwani Geita lalidhia kupitisha bilioni 4.3 mapendekezo ya CSR 2024.
Madiwani katika Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limekutana kujadili mapendekezo…
Ndege mbili za abiria zashambuliwa na magenge ya waasi katika anga la haiti
Ndege mbili za kibiashara zimepigwa risasi katika anga la Mji mkuu wa…
Zaidi ya wanafunzi 12061 wa Kipalestina waliuawa, 19467 walijeruhiwa tangu Octoba 7
Wizara ya Elimu na Elimu ya Juu ilisema kuwa wanafunzi 12,061 waliuawa…
Waziri wa mambo ya nje wa Israel aripoti baadhi ya maendeleo kuelekea kusitisha mapigano
Waziri wa mambo ya nje wa Israel anaripoti baadhi ya maendeleo kuelekea…
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi dhidi ya Ukraine
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya anga ya Jumatatu ya Urusi…
Mgogoro wa waliohama makazi unafikia milioni 123, huku kukiwa na migogoro inayoendelea
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Jumanne lilionya kwamba nusu…