Watumishi wa Umma wanaotumia magari ya Serikali kwa matumizi binafsi kuchukuliwa hatua
Watumishi wa Umma wanaotumia magari ya Serikali kwa matumizi binafsi watachukuliwa hatua…
Mahakama ya Juu ya Brazil yaamuru uchunguzi wa Elon Musk kuhusu habari za uwongo
Jaji wa Mahakama ya Juu zaidi ya Brazil alijumuisha Elon Musk kama…
V8 yenye namba za serikali yakamatwa tena na wahamiaji haramu 17 Manyara
Wahamiaji haramu 17 raia wa Ethiopia wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa…
Mbunge Keysha agawa mitungi 200 ya gesi kwa watu wenye ulemavu Dodoma
Mbunge wa Viti maalum Mhe Khadija Shabani Taya amempa tano Rais wa…
Miezi 6 ndani ya vita vya Israel na Hamas, idadi ya watu waliouawa pande zote
Jumapili iliadhimishwa miezi sita tangu Hamas ilipoanzisha mashambulizi ya kushtukiza ya kigaidi…
SpaceX yazindua satelaiti ya 2 ya kijasusi ya Korea Kusini
Wizara ya ulinzi ya Korea Kusini ilisema Jumatatu kwamba satelaiti ya pili…
Maafa ya feri huko Msumbiji ,vifo vyafikia 96
Boti ya kivuko cha muda iliyozama katika pwani ya kaskazini ya Msumbiji…
Jeshi la Israel laondoa wanajeshi wake kusini mwa Gaza
Jeshi la Israel linasema kuwa limepunguza idadi ya wanajeshi wa ardhini kusini…
Papa Francis atoa wito kwa viongozi kujadili njia ya amani Ukraine, Gaza
Papa Francis Jumapili aliwataka viongozi wa kisiasa kusimama na kufanya juhudi za…
Wiki ya kumbukizi ya miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari ya 1994
Rwanda Jumapili ilianza wiki ya ukumbusho wa miaka 30 baada ya mauaji…