Kamati kuu ya CCM inaendele na vikao vyake Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wa Taifa Dk. Jakaya Kikwete.
Leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Nape Nnauye amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia ajenda moja kati ya zile ambazo zinajadiliwa na Kamati hiyo.
NAPE NNAUYE: Ajenda moja iliyozungumzwa ni kule ambapo uchaguzi haukufanyika kwa sababu kadhaa, moja ya jimbo ni Handeni #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 2, 2015
NAPE NNAUYE:Kamati kuu imeagiza uchaguzi huo urudiwe kwa wawili waliopata kura nyingi zaidi OMAR KIGODA na HAMIS MNONDWA #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) November 2, 2015
NAPE NNAUYE: Kura zitarudiwa kesho na zitasimamiwa na viongozi wa chama Maua Daftari, Emmanuel Nchimbi na Abdalah Bulembo #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 2, 2015
NAPE NNAUYE: Baada ya marudio kamati kuu itatangaza jina la mgombea atakayeshiriki na kushinda uchaguzi jimbo la Handeni #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) November 2, 2015
Msikilize hapa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE