Leo July 26, 2018 Jeshi la polisi mkoani Arusha kupitia kwa Kamanda Ramadhan Ng’anzi wamekamata mitambo feki ya kuchezesha bahati nasibu ambayo inatumika kuwaibia watu huku wakikamata malori ishirini pamoja na madereva na wamiliki wake 40.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda Ng’anzi amesema “Tumefanya msako mkali wa kusaka bidhaa bandia ambapo tumekamata mitambo ya kubetisha ambayo haina ubora na haijahakikiwa, pia tumekamata malori 20 na madereva 20”
Rais Magufuli ‘WFP njooni mnunue mahindi, tuna Tani Milioni 4, DRC, Burundi, Sudan wanahitaji’