Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Katibu wa chama hicho mkoa wa Arusha Reginald Massawe kimemjibu aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema Joshua Nassari nakusema alijua hataruhusiwi tena kugombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki baada yakushindwa kutekeleza yale aliyoambiwa na chama