July 28 2016 Chama cha mapinduzi (CCM) kikiongozwa na msemaji wake Christopher Ole Sendeka kimewataka watanzania wote kupuuza maandamano yaliyopangwa kufanywa na UKAWA kwakuwa ni ishara ya kuchochea uvunjifu wa amani, pia kimewataka viongozi hao wanaoshinikiza maandamano wakaandamane na familia zao
‘Wabunge wako huru kufanya shughuli zao na tumeona baadhi ya wabunge wakifanya shughuli zao majimboni bila shida wakiwemo hao wa upinzani‘ –Ole Sendeka
‘Ni vizuri tukakumbuka matukio kwenye operesheni kama hizi yaliyopoteza maisha ya vijana wetu na matokeo ya kila operation‘ –Ole Sendeka
ULIIKOSA BAADA YA KUKAA SIKU 2 MFULULIZO, CHADEMA WAMEKUJA NA HII