Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly amelieleza bunge kuwa serikali inapiga marufuku kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao kutokuuza nje huku inashindwa kununua na kusababisha wakulima kukosa kipato.
“Kuna mambo yanakera sana, serikali haieleweki nini inafanya. Serikali inapiga marufuku mazao yetu tusiende kuuza nje lakini serikali haiwezi kuyanunua mazao hay. Tunataka kuzuia mfumuko wa bei kwa kumuumiza mkulima” –Aeshi Hilaly
Full video nimekuwekea hapa chini tayari….