Ukizungumzia taifa ambalo limetoa mastar kadhaa wa soka Duniani hutoacha kulitaja Brazil hii ni kufuatia rekodi zake kadhaa ambazo limewahi kujiwekea kwenye medali ya soka duniani leo limeingia kwa headline tena taifa hili.
Ni kuhusu mtoto mdogo amabye kwa kumtazama anaweza kuwa na umri usiozidi miaka 3,amekua ni miongoni kati ya walioumizwa na taarifa za kidaktari zinazomhusu mchezaji Neymar kuwa hatocheza mechi nyingine za Kombe la Dunia.
Kama unakumbuka Neymar alipata majeraha baada ya kuumia kwenye mechi iliyochezwa kati ya Brazil na Colombia na katika mechi hiyo Brazil ilifanikiwa kushinda goli 2-1 na kufanikiwa kuingia nusu Fainali.
July 08 Brazil ambao kimsingi ndio wenyeji wa mashindano haya ya kombe la dunia itacheza na Ujeruman,mchezo utakaochezwa bila Neymar katika mechi ya Nusu Fainali.
Bonyeza play kutazama.