Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kuliita Soko la Manispaa ya Morogoro liitwe Chief Kingalu, mwenye ameibuka na kuzungumzia soko kupewa jina lake na kusema hakutegemea suala hilo kuwezekana na anamshukuru JPM.