Q Chillah amezichukua headlines baada ya kueleza kuwa alikuwa anajiusisha na matumizi ya dawa ya kulevya, Leo August 17 2016 ameeleza sababu zilizomfanya aachane na matumizi ya dawa za kulevya Ayo TV imekuwekea Exculusive interview hapa
‘Halikuwa jambo rahisi kwangu hata siku naeenda kutangaza kuwa nimeachana na dawa za kulevya hata ndugu zangu walikuwa hawaamini, sikutaka kudhalilika zaidi ya pale nilipodhalilika kama baadhi ya wenzangu niliowaona, na sio lazima watu waamini kuwa nimetoka kwenye madawa namshukuru mungu kwa hapa nilipo sasa‘ Q Chillah
ULIMISS HII MUONEKANO WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…