Kama wewe ni mmoja kati ya wapenda soka ambao walikuwa wanasubiria kwa hamu kipindi cha pili cha mchezo wa nusu fainali ya pili ya Copa America 2016, ambayo ilikuwa inazihusisha timu za Colombia na Chile bado imesimama baada ya kipindi cha kwanza kumalizika.
Mchezo huo umelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja kutokana na hali ya hewa kubadilika kuwa na mvua na radi kabla ya kipindi cha kuanza, lakini Chile walikwenda mapumzilko wakiwa mbele kwa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Charles Aranguiz dakika ya 7 na Jose Fuenzalida dakika ya 11.
Hali ya hewa imepelekea kipindi cha pili cha nusu fainali ya pili ya #CopaAmerica 2016 Colombia vs Chile kuchelewa pic.twitter.com/wCAK2510b2
— millard ayo (@millardayo) June 23, 2016
GOAL AND HIGHLIGHTS: MO BEJAIA VS YANGA JUNE 20 2016, FULL TIME 1-0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE