Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Utafiti mpya umebaini kuwa ulaji mzuri wa chocolate unaweza kuongeza uwezo wa kufikiri pic.twitter.com/yDk7TAI8y8
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
Wakati wazazi wengi nchini wakihaha kudhibiti ulaji holela wa vitu vitamu kwa watoto wao ili kuimarisha afya ya kinywa. utafiti mpya wa hivi karibuni umeibuia mapya baada ya kubainika kuwa ulaji mzuri wa chocolate unaweza kuongeza uwezo wa kufikiri na hivyo kutoa fursa kwa watoto kufanya vizuri darasani.
Aidha, utafiti huo umebaini vilevile kuwa ulaji wa chocolate husaidia kupunguza kasi ya kawaida ya kuzeeka kwa walaji itokanayo na kuongezeka kwa umri. Ripoti ya utafiti huo ilitolewa hivi karibuni, inabebwa na utambulisho usemao ‘ulaji wa chocolate huongeza utendaji kazi wa ubongo” na kwamba ”unaweza kusaidia mtu kutozeeka haraka licha ya umri kuzid kumtupa mkono’
Utafiti huo uliochapichwa mwezi huu katika jarida la Appetite, umebaini kuwa kumbukumbu na uwezo wa kufikiria ufumbuzi wa mambo magumu kuwa katika kiwango cha juu kwa watu wanaokula chocolate kwa wingi. Matokeo hayo yameripotiwa kutoathiriwa na umri wa mlaji, uzito wa mwili wala aina nyingine za ulinganifu wa jumla wa kiafya .
Inaelezwa zidi kuwa utafiti huo unaonyesha kuwapo kwa uhusiano mkubwa kati ulaji wa kila mara wa chocolate na matokeo ya majaribio kuhusu uwezo wa uubongo katika kufikiri hata hivyo utafiti huo haujathibitishwa kwa asilimia 100 juu ya uhakika wa kisayansi juu ya kile kilichobainishwa.
Aidhja imeonekana watu wanotumia zaidi chocolate walikuwa na lishe bora zaidi na pia kunywa pombe kwa kiasi kidogo, na makundi yote yalitegemea uwezo wa kukumbuka mambo kupitia kiwango chao cha ulaji wa Chocolate.
SOURCE: NIPASHE
Unaweza kupitia habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya Tanzania hapa chini
#MWANANCHI Polisi jana walipambana na watu wanaosadikiwa ni majambazi kwenye nyumba iliyoko eneo la Vikindu Mkuranga pic.twitter.com/w2RXb0qNxJ
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#MWANANCHI Ofisa usalama wa JNIA, Bernard Obeto kizimbani kwa mashtaka sita yakiwemo manne ya kughushi Nyaraka pic.twitter.com/oX1xt8LxAM
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#MWANANCHI Serikali kuongeza mabasi mapya165 yaendayo haraka kwa wakazi wa Dar kwenye maeneo yasiyo na huduma hiyo pic.twitter.com/92V4WFwnQi

#MWANANCHI CHAUMA yaunga mkono Serikali kuhamia Dom wasema itaokoa bil 4 zilizokuwa zikipotea kutokana na msongamano pic.twitter.com/nZfCst62rg

#MWANANCHI Wanawake 24 hufa kila siku kwa uzazi, watoto wanaodaiwa kufa ni 144 na wanawake wanaopata matatizo ni 720 pic.twitter.com/Xx4NMSGlKK
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#NIPASHE JPM amemtuma Waziri Mkuu, Majaliwa kumwakilisha mkutano wa sita wa maendeleo ya Afrika unaofanyika Nairobi pic.twitter.com/MTuSJKw4li
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#NIPASHE PPF kanda ya ziwa yawaburuza waajiri 11 mahakamani kwa kushindwa kuwasilisha michango ya wanachama pic.twitter.com/orRTJdI6ic
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#NIPASHE Ajali za pikipiki Mkuranga zimesababisha hospitali ya wilaya kutumia kiasi kikubwa cha damu na kuishiwa pic.twitter.com/JJWVzuBadh
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#NIPASHE Mgogoro wa wakulima na wafugaji Kongwa Dom, watoto wa wafugaji wadaiwa kupewa pipi za sumu wanapoenda shule pic.twitter.com/c9KvCxAK0b
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#JamboLEO Muuaji polisi ni komando, aua tena mkuu kikosi cha kupambana na ujambazi, wanawake wawili, mtoto wakamatwa pic.twitter.com/WzWUzLWRN3
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#JamboLEO Kilichotokea Vikindu kilikuwa sawa na vita iliyodumu kuanzia saa nane usiku hadi saa 12 asubuhi. pic.twitter.com/JZtCJf9vTu
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#JamboLEO Mkazi wa Dar, Mohamed Mohamed kizimbani akidaiwa kumiliki mihuri 54 ikiwamo ya sekta mbalimbali nyeti pic.twitter.com/nYNBi34K9v
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#JamboLEO CCM yamtaka Lowassa kutoa ushahidi wa nakala za kura alizoibiwa na chama hicho. pic.twitter.com/JLsF4Peci0
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
#MTANZANIA Wizara ya ardhi imeanza kuhakiki hati miliki za viwanja kupitia mfumo unganishi wa taarifa za ardhi pic.twitter.com/uyUcbotN1A

#HabariLEO Baraza la vyama limeitaka CHADEMA kuwa na utulivu na kupeleka dukuduku zake zote September 3 na 4 pic.twitter.com/MpC6BZla0h
— millardayo (@millardayo) August 27, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV AUGUST 27 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI