Taarifa ambayo imekua kama ya ghafla ni kuhusu Aliyekuwa mchezaji kiungo wa Yanga Athumani Iddi ‘Chuji’ kusemekana kijiunga na timu ya Azam Fc na asubuhi ya leo ameonekana akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam.
Huyu hapa Mchezaji mwingine wa Yanga aliyehamia Azam Fc.

Leave a comment
Leave a comment