Taarifa kutoka Arusha zilizotufikia hapa Ayo TV na millardayo.com leo February 6, 2018 ni kwamba Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru.
Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014. Mtendaji huyo bado hajatajwa jina lake.
Mlemavu wa macho aliyebuni nguo za Viongozi nchini