Mtu wako wa nguvu Mkurugenzi Mtendaji wa AyoTV na millardayo.com, Millard Ayo leo December 26, 2017 ameingia kwenye orodha ya wateuliwa 50 ambao watashindania tuzo za Mtanzania mwenye Ushawishi kwa mwaka 2017.
Millard Ayo ameingia kwenye kundi la Vyombo vya Habari ambapo atashindania tuzo hiyo dhidi ya wenzie watano ambao ni watangazaji wa Clouds Media Groups Bdozen, Babbie Kabae, Dina Marios wa E-Fm Radio, Idris Sultan wa Sio Habari na Salim Kikeke wa BBC Swahili.
Tuzo hizo ambazo zimeandaliwa na Avance Media zitatangaza washindi January 8, 2018 zina vitengo vingi ikiwemo, Biashara, Burudani, Sheria na Uongozi, Vyombo vya Habari, Mtindo wa Maisha, Sayansi na Teknolojia, Michezo, Biashara za Jamii na Asasi za Kiraia.
Kumfanikisha kuchukua tuzo hii, mpigie kura kupitia tovuti hii tz.avancemedia.org mara nyingi uwezavyo.
Orodha nzima ya wanaoshindania tuzo hii kwa vitengo mbalimbali ni kama ifuatavyo
Business (in partnership with TANOE Business)
1. Carol Ndosi (Alta Vista Events)
2. Harun Elias (Javis International Trade Co.)
3. Hellen Dausen (Nuya's Essence)
4. Ian Ferrao (Vodacom Tanzania)
5. Krantz Mwantepele (KONCEPT)
6. Patrick Ngowi (Helvetic Solar)
7. Yusuf Bakhresa (Azam Media Ltd)
Entertainment (in partnership with WatsUp TV)
1. Ali Kiba (Musician)
2. Diamond Platinumz (Musician)
3. Jokate Mwegelo (Actress)
4. Joti (Comedian)
5. Riyama Ally (Actress)
6. Vanessa Mdee (Musician)
7. Wema Sepetu (Actress)
Law & Governance
1. Albert Msando (Lawyer)
2. Benedict Ishabakaki (Lawyer)
3. Bonnah Kaluwa (MP)
4. Fatma Karume (Lawyer)
5. Jebra Kambole (Lawyer)
6. Peter Kibatala (Lawyer)
Lifestyle
1. Benjamin Fernandes (TV Host)
2. Flaviana Matata (Model)
3. Jacqueline N Mengi (Model)
4. Millen Magese (Model)
5. Miriam Odemba (Model)
6. Osse Greca Sinare (Photographer)
Media
1. Babbie Kabae (Clouds 360)
2. Bdozen (Clouds Media)
3. Dina Marios (E-FM Radio)
4. Idris Sultan (SIO HABARI)
5. Millard Ayo (Ayo TV)
6. Salim Kikeke (BBC Swahili)
Science & Technology
1. Edwin Bruno (Smart Codes)
2. Evans Makundi (EvMak Tanzania Ltd)
3. Fayaz Valli (GetCore Group)
4. Johnpaul Barretto (Kinu Innovation Space)
5. Jumanne Mtambalike (Sahara Ventures)
6. Lilian Makoi (Jamii Africa )
Sports
1. Hashim Thabit Manka (Yokohama B-Corsairs)
2. Juma Kaseja (Young Africans SC)
3. Mbwana Samatta (KRC Genk)
4. Mrisho Ngasa (Fanja SC)
5. Shomari Kapombe (Simba SC)
6. Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna)
Social Entreprise & Civil Society
1. Faraja Nyalandu (Shule Direct)
2. Irene Kiwia (Tanzania Women of Achievement)
3. Jennifer Richard Shigoli (Tanzania Netherland Vocational Training Center)
4. Nancy Sumari (The Neghesti-Sumari Foundation)
5. Rebeca Gyumi (Msichana Initiative)
6. Saira Dewji (Mo Dewji Foundation)
BREAKING: SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA