Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga amemuagiza DC Kigoma Samsoni Anga kufanya msako wa watoto wanaojihusisha na kuuza biashara ndogo ndogo kipindi hiki cha likizo kutokana na ugonjwa wa CORONA na kuchukua hatua kwa wazazi na walezi wao.