Tukiwa bado tupo kwenye kipindi cha Janga la Corona sasa Rais wa Uganda, Museveni ambae leo April 16, 2020 alizungumza kuhusu Mabenki kwa wenye mikopo na madai na kusema
“Kuhusu wenye mikopo Benki, tutaongea na Mabenki tuone namna ya kutatua tatizo hili wakati huu wa corona, sio kwamba Serikali itawalipia madeni ila tuone namna ya kuwapunguzia au kusogeza mbele muda wa kulipa, hatuwezi kuruhusu wajifanye wapumbavu wasioona hali halisi”-Rais Museveni wa Uganda
CORONA TANZANIA: VISA VYA CORONA VYAFIKIA 94, WANAOFUATILIWA 1023, WALIOPONA 11