Kwa mara ya 3 mfululizo Bank ya CRDB imefanikiwa kupata tuzo ya Benki Bora Tanzania inayotolewa na Jarida la Global Finance la nchini Marekani. Pamoja na mambo mengine Jarida la Global Finance limeitambua Benki ya CRDB kwa mchango wake katika kuimarisha uchumi wa nchi na kusaidia jamii dhidi ya changamoto zilizoletwa na janga la COVID-19.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela anazungumza