Baba Mzazi wa kijana Gilbert Novath aliyefanyiwa operesheni na kukutwa na kijiko, mswaki, viberiti na vitu vingine tumboni ameieleza AyoTV alivyopokea taarifa hiyo ikiwa ni sambamba na kueleza kama tukio hilo alilihusisha na imani za Kishirikina.