Lighting Africa, kwa kushirikiana na Bank ya Dunia-IFC imezindua kampeni ya miaka miwili ya kutoa elimu kwa wateja kwa ajili ya kuhamasisha taa zisizotumia nishati ya umeme wa kawaida katika Jamii za vijijini ambao hawajaunganishwa na gridi ya Taifa.
Kampeni hiyo, iliyopewa jina la “Ngaa na Sola ndio mpango mzima” ina lengo la kuongeza ufahamu wa watumiaji kuhusu manufaa ya taa za kisasa za sola.
MOTO ARUSHA! Mwalimu kasimulia Wanafunzi zaidi ya 100 wanavyolala Msikitini