Jina la mkurugenzi mtendaji na Rais wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) ambaye pia ni bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ‘MO’linazidi kuiingia kwenye headlines kila kukicha kutokana na biashara zake na kutoa ajira kwa watu zaidi ya 20,000, leo July 29 MO amezungumzia mpango wake kuinunua Simba
“Sababu za Simba kutofanya vizuri ni kutokana na bajeti, mfano Yanga bajeti yao inaweza kufikia bilioni 2.5 sawa labda na Azam FC wakati bajeti ya Simba inaweza kuwa nusu ya bajeti za washindani wake, Simba kwa sasa haihitaji mdhamini ili kuweza kujiendesha au kutegemea kwa maana mpira unahitaji pesa sio mdhamini atakayetoa milioni 400 au chini ya hapo”
ALL GOALS: SIMBA VS COASTAL UNION FA CUP APRIL 11 2016, FULL TIME 1-2