Mbunge wa Mlalo, Tanga Rashid Shangazi amehoji ndani ya Bunge kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina anatoa wapi kiburi cha kufanya mambo kinyume cha sheria baada ya kudaiwa kuwaelekeza maofisi wa Wizara yake kuingia bungeni na kukamata samaki wanaodai kuwa ni haramu tukio lililofanywa bila kufuata taratibu za kibunge.
Samaki wakamatwa katika mgahawa wa Bunge Dodoma