Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa alisimama Bungeni kuhoji mpango mkakati wa Serikali kuhusiana na mafuriko yanayoendelea kutokea mkoani Dar es salaam na kusababisha maafa kwa wananchi. Majibu yakatolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba.
Uamuzi kesi ya Mbowe na Viongozi 8 CHADEMA kutolewa May