Mbunge wa kuwakilisha vijana Bungeni Zainab Katimba amehoji Serikali ina mkakati gani wa kuwaendeleza vijana walio katika vikundi kwa kuwajengea uwezo kupitia asilimia 10 ya mapato yatokanayo katika halmashauri yanayotengwa kwa nchi nzima. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Joseph Kakunda.
Kauli ya Wapinzani June 27, 2018 “tutaidai haki hii”